Harris Kapiga @harriskapiga avatarHarris Kapiga

Instagram photos and videos

Mc pilipili..Ameshawasili Mbeya tayari kwa Semina kubwa katika historia ya Mbeya juu ya Ubunifu itakayo fanyika Tughimbe tar 27.5.2018..maelezo zaidi 0765005005


0   14  

Now at letshego bank mbeya branch.kuelehekea siku #UbunifuWenyeTija @mcmwakyusa @ibrahbanks @mlipa__


1   386  

Mapema leo Akiba commercial Bank.Mbeya kuuza tickets zimebaki leo na kesho.. Asante Mbeya @ibrahbanks @mcmwakyusa @petermsilu @_frankpaul


2   289  

Happy Birthday Ipyana Mwakyusa..Tata gwa Lugano..Tata.gwa Ipyana.Kyara Akusaje..
Asante kwa ambavyo umekuwa msaada kwa HK Team...Mungu akupe maisha.marefu...


21   1,043  

Hakuna haja ya kwenda kwa mganga ili ufanikiwe ikiwa mganga wa mafanikio yako ni wewe mwenyewe...shukrani ziende kwa mdhamini wetu@ann'ys stationary walioko mbeya mjini mtaa wa uhindini @ann.stationery @mcmwakyusa


5   211  

Bado siku mbili tu kwa wakazi wa Mbeya kuweza kujikwamua kiuchumi..kimahusiano..na hata maendeleo yako binafsi kwa kutumia ubunifu wenye tija
Shukrani za dhati ziende kwa@mbeyaboy


11   453  

Furaha ya Bwana Yesu ndio nguvu yangu.. Furahini katika Bwana Yesu.siku zote na tena nasema FURAHINI.
Asante sana @mbeya_boy kwa Pullover kali.
📸@_frankpaul


17   1,285  

Ubunifu wenye Tija..Hk team.. Jumapili usikose mkazi wa Mbeya.tar 27.5.2018


10   639  

Zimebaki siku Tatuuuuuuu.


4   111  

Zikiwa zimebakia siku tatu semina kubwa Mbeya..Mkazi wa mbeya jipatie tiketi yako @501soulfood...Uhindini piga 0765005005
@mcmwakyusa @gracious_house_of_cakes @shereheleo @twinkletymtz @yuda_jay @amosmakalla


1   319  

TUKIWA TUMEBAKIWA NA SIKU TATU TU,ENDELEA KUNUNUA TICKET ZAKO KUPITIA #M_LIPA @m_lipa .
@501soulfood
#UbunifuWenyeTijaMbeya2018
@online_tia_magazine @mzumbe_mbeya_campus


5   174  

MBEYA GET READY : UBUNIFU WENYE TIJA JUMAPILI HII 27 MAY 2018.

HUU NI WAKATI WA MUNGU KWENU.

The Team @petermsilu @aureus_g @frank_masanyiwa @_frankpaul and I,tupo tayari ,natanguliza shukrani kwa wana Mbeya kwa mwitikio wenu.

Thank you @amosmakalla @ann.stationery @allyrichsanaaarts @mcmwakyusa @mlipa_gateway @browmarhotel @yuda_jay @shereheleo
Cc @paulclement_official

#UbunifuWenyeTijaMbeya2018


9   417