Magic Fm Tanzania @magicfmtanzania

The official Instagram page for Magic Fm Tanzania.

www.magicfm.co.tz/

1,451 posts 10,351 followers 562 following

Instagram photos and videos

Team #Rewind tupo tayari Muda huu. Ungana nasi hadi saa 11:00 Jioni. #RahaMpya

59  

Hivi ndivyo #BAMIZATOP20COUNTDOWN ya @magicfmtanzania imekwenda hapa ni nafasi ya 1 hadi ya 3. Tukimaliziwa na #BONAS_TRACK #CHUCHU_DEDE ya @moni_centrozone ft @nikkwapili 🔥🔥 cc @officialalikiba @harmonize_tz @aytanzania #RahaMpya

34  

Weka sawa Speaker za Radio yako #BAMIZATOP20COUNTDOWN muda huu @iamjimmyj anazisogeza kwako mpaka Saa 8:00 Mchana ambapo Nafasi ya 20. imefunguliwa na #WAPOLOO ya kwao #WEUSI @johmakinitz @nikkwapili @GnakoWarawara @lordeyesmweusi PRODUCED by #AMMY #INGIZOJIPYA 🔥🔥 #RahaMpya

63  

Baadae baadae kwenye #Rewind Kuanzia Saa 8:00 Mchana. Tusomane Kwenye Code tofauti tofauti Kwenye Mkoa Wako. Kwa mikoa ambayo bado hatujaifikia unaweza sasa hivi Kwenda kwenye Google PlayStore itafute App yetu tupo Live masaa 24. Andika "Magic Fm Tanzania" Kisha Install . Dondosha comment yako halafu @teejay_tz ataipitia. #RahaMpya

27  

Memories #DalaDalaBeat #2017 #RahaMpya cc @tidmusic

50  

Bwaana Bwaana unaambiwa VAR ya EPL macho ya Muamuzi (Referee) 😅😅😅 #RahaMpya

47  

#RahaMpya Sasa unaweza kutembelea Tovuti ya @MagicFmTanzania Ipo rasmi. Pia ukiwa ndani ya Tovuti unaweza kusikiliza Magic Fm yenye Vipindi Uvipendavyo (LIVE). Link ifuate kwenye Bio hapo Juu. #MagicFmTanzania #OfficialWebsite

25  

Chelsea wamefungiwa kusajili wachezaji katika madirisha mawili ya usajili yajayo :
Nini hatima ya wachezaji wa klabu hiyo waliopo kwa mkopo ndani na nje ya klabu, na wale ambao mikataba yao inaisha mwisho wa msimu huu?? Dondosha comment yako halafu @george_ambangile pamoja na @paulmkai wataenda nazo hewani kuanzia saa 2:00 Kamili Usiku huu. #RahaMpya #MichezoNaMagic

54  

#VIDEO (Part 02) Rais Magufuli ametoa mkono wa pole kwa familia ya Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla ambaye amefiwa na mwanae aitwaye Zul Hamis Kigwangalla jana tarehe 21 Februari, 2019 Jijini Dar es Salaam.
Rais Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wamefika nyumbani kwa familia hiyo Mikocheni Jijini Dar es Salaam na kukutana na baadhi ya wanafamilia wakiongozwa na Mama wa Marehemu Dkt. Bayoum Kigwangalla wakiwa katika maandalizi ya kusafirisha mwili wa marehemu kwenda Nzega Mkoani Tabora.
Dkt. Hamis Kigwangalla ameshatangulia Nzega ambako mazishi yangefanyika baadaye leo. #RahaMpya

68  

#VIDEO (Part 01) Rais Magufuli ametoa mkono wa pole kwa familia ya Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla ambaye amefiwa na mwanae aitwaye Zul Hamis Kigwangalla jana tarehe 21 Februari, 2019 Jijini Dar es Salaam.
Rais Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wamefika nyumbani kwa familia hiyo Mikocheni Jijini Dar es Salaam na kukutana na baadhi ya wanafamilia wakiongozwa na Mama wa Marehemu Dkt. Bayoum Kigwangalla wakiwa katika maandalizi ya kusafirisha mwili wa marehemu kwenda Nzega Mkoani Tabora.
Dkt. Hamis Kigwangalla ameshatangulia Nzega ambako mazishi yangefanyika baadaye leo. #RahaMpya

20  

#UPDATES Watu 19 wamefariki dunia katika ajali iliyotokea jana usiku katika mteremko wa Senjele Mbozi mkoani Songwe baada ya lori kukatika break na kugonga magari mawili ikiwemo gari aina ya coaster iliyokuwa na abiria waliopoteza maisha.

Kamanda wa polisi mkoa wa Songwe George Kyando amethibitisha kufariki kwa watu hao katika ajali hiyo na uchunguzi bado unaendelea. Endelea kutembelea mitandao yetu ya Kijamii kwa Taarifa zaidi.

56  

Katika soka la kisasa tunaona uzalishaji wa aina tofauti ya mabeki ukilingisha na zamani , Je Tanzania tunazalisha aina hiyo ya mabeki wa soka la kisasa ?? Dondosha comment yako halafu @george_ambangile pamoja na @paulmkai wataenda nazo hewani kuanzia saa 2:00 Kamili Usiku huu. #RahaMpya #MichezoNaMagic

56